Tag Archives: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kuratibu maandamano

Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kuratibu maandamano

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa tuhuma za kupanga maandamano. Viongozi wa Chadema wanaowashikilia ni pamoja na mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, Godbless Lema, na Boniface Jacob aliyekuwa …

Read More »