Tag Archives: Vijana wawili wa miaka 14 mbaroni kwa ubakaji

Vijana wawili wa miaka 14 mbaroni kwa ubakaji

Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linawashikilia vijana wawili Boazi Shija (14)na Jakaya John(14) kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye miaka Sita(jina limehifadhiwa).Watuhumiwa hao ni wakazi wa Kata ya Ndembezi manispaa ya Shinyanga. Kamanda wa Polisi Mkoani Shinyanga ACP Debora Magiligimba,amesema kuwa vijana hao walimlaghai mtoto huyo kwa pipi na kumpa …

Read More »