Tag Archives: vijana ccm

Vijana CCM watakiwa kujitokeza kuwania nafasi za Uongozi

Kuelekea katika Uchaguzi Mkuu   wa mwaka 2020,Jumuiya  ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Zanzibar imewataka wanachama wa jumuiya hiyo kujitokeza kwa wingi majimboni katika kugombea nafasi mbambali za Uwakilishi, Ubunge na Udiwani  wakati ukifika wa uchaguzi na kwamba wasijikite kwenye nafasi za viti maalum. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini …

Read More »