Tag Archives: uturuki

Rais wa Uturuki amtaka Khaftar aache matumizi ya nguvu Libya

Rais wa Uturuki Reccep Tayyip Erdogan amesema Khalifa Khaftar lazima akomeshe msimamo wa kutumia nguvu ili kufungua njia ya kufanyika mchakato wa kisiasa. Erdogan ameuambia mkutano wa Berlin kwamba utekelezaji wa hatua nyingine za mchakato wa kisiasa pamoja na suluhisho vinahitaji Haftar kuondoa msimamo wake wa kutumia nguvu. Muda mfupi …

Read More »

Erdogan aapa kumpa somo mbabe wa kivita wa Libya, Khalifa Haftar

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametishia kumchukulia hatua za kijeshi mbabe wa kivita nchini Libya, Khalifa Haftar, ikiwa ataendelea kuishambulia serikali ya mjini Tripoli inayotambuliwa kimataifa. Haya yanajiri baada ya Haftar kuondoka katika mkutano wa upatanishi mjini Moscow bila kusaini makubalino ya kusitisha mapigano, ambayo kiongozi wa serikali ya …

Read More »