Tag Archives: Uteuzi

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi mpya wa TAWIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI). Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Mjingo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Tiba ya Wanyamapori na Huduma za Maabara wa TAWIRI, na anachukua nafasi iliyoachwa …

Read More »

Uteuzi Mpya Uliofanywa na Rais Magufuli Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Buruhani Salum Nyenzi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA). Dkt. Nyenzi (Tanzania Bara) anashika wadhifa huo kwa kipindi cha pili. Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Dkt. Makame Omar Makame kuwa Makamu …

Read More »