Tag Archives: USHAMBLIAJI TATIZO NAMUNGO

USHAMBLIAJI TATIZO NAMUNGO

HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo FC amesema kuwa tatizo linaloisumbua timu hiyo kwa sasa ni kushindwa kupata maandalizi mazuri mwanzoni mwa msimu.   Msimu wa 2020/21 timu nyingi zilipata muda mchache wa maandalizi kutokana na uwepo wa janga la Corona ambalo lilivuruga ratiba nyingi duniani. Namungo ikiwa …

Read More »