Tag Archives: Urusi

Urusi imefungiwa kutoshiriki michezo yoyote kwa miaka 4.

Urusi imefungiwa miaka 4 kutojihusisha na mchezo wowote duniani, baada ya kupatikana na hatia ya kufanya udanganyifu kuhusu vipimo na maabara juu ya utengenezwaji na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni. Taarifa ya Shirika la kupinga dawa za kuongeza nguvu michezoni ‘World Anti-Doping Agency’ (WADA) leo Desemba 9, 2019, …

Read More »