Tag Archives: Urambo yatoa mikopo ya milioni 167.2 kwa vikundi 27

Urambo yatoa mikopo ya milioni 167.2 kwa vikundi 27

HALMASHAURI ya Wilaya ya Urambo imetoa mikopo ya kiasi cha shilingi milioni 167.2 kwa vikundi 27 vya wajasiriamali toka Julai mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Baraka Zikatimu wakati akiwasilisha jana taarifa ya shughuli zilizofanyika katika kipindi cha kuanzia Julai hadi …

Read More »