Kikuu cha Dar es salaam, Shule Kuu ya Uandishi wa Habari imewataka waandishi wa habari wanaosoma ngazi ya Stashahada kwa njia ya mtandao kuweka bidii katika masomo ili waweze kufikia malengo yao. Wito huo umetolewa leo Jijini Mwanza na mratibu wa masomo ya stashahada mtandaoni kutoka Chuo kikuu cha Dar …
Read More »Tag Archives: unesco
Radio za kijamii zatakiwa kuyafikia makundi yote katika jamii ili kupata matokeo chanya.
Na William Bundala (Kijukuu cha Bibi K) Mwanza Radio za Kijamii nchini zimetakiwa kutafuta njia bora ya kuwasiliana na makundi mbalimbali katika jamii ili kujua uhitaji wao kwa lengo la kupata matokeo Chanya. Wito huo umetolewa jana na mkufunzi kutoka Shirika la Elimu, Sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa …
Read More »Waandishi wa Radio 25 za kijamii wanolewa Dodoma,Lengo kuzitambua jamii zinazowasikiliza na kuwafikia kirahisi.
Waandishi wa Habari kutoka katika Redio za kijamii zaidi ya 25 wapatiwa mafunzo ya Utafiri wa wasikilizaji Mafunzo hayo yanayoendelea kwa siku tano yamewezeshwa na Shirika la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO, yanafanyika katika ukumbi wa LAPF Jijini Dodoma. Akizungumzia lengo la mafunzo hayo Bw: Marko Gedion kutoka UNESCO amesema …
Read More »Wamiliki wa Vyombo vya Habari Nchini,Wameshauriwa kuweka Sera ya Usalama wa mawasiliano katika vituo vyao.
Ushauri umetolewa kwa wamiliki wa vyombo vya habari nchini kuweka Sera ya usalama wa mawasiliano katika vituo vyao ili kulinda kazi za kihabari na kutunza siri za ofisi. Hayo yamesemwa leo Visiwani Zanzibar na Mkufunzi kutoka Shirika la UNESCO Leonard Kisenha katika mafunzo ya TEHEMA kuhusu usalama wa mfumo wa …
Read More »Waandishi wa Habari Nchini wametakiwa Kutambua thamani ya kazi zinazofanywa na vyombo Vingine (CREDIT),
Wito umetolewa kwa waandishi wa habari nchini kutambua thamani ya kazi iliyofanywa na vyombo vingine pindi wanapotumia kazi za waandishi au vyanzo vingine vya habari kutoa habari katika vyombo vyao. Wito huo umetolewa leo visiwani Zanzibar na mratibu wa mafunzo ya TEHAMA kutoka Shirikia la UNESCO Getruda John,Katika siku ya …
Read More »Waandishi nchini wametakiwa Kutumia TEHAMA kuleta mabadiliko katika Jamii zinazowazunguka.
Waandishi wa habari nchini wametakiwa kutumia mifumo ya Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) ili kuinua kiwango cha Elimu,Biashara,Ajira pamoja na utunzaji wa mazingira katika jamii zinazowazunguka. Wito huo umetolewa leo na Mkufunzi a TEHAMA kutoka UNESCO Mdegela Ajuaye katika mafunzo ya Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA yalionza leo …
Read More »