Tag Archives: UN watoa wito kukomeshwa kwa ukatili wa Polisi Nigeria

UN watoa wito kukomeshwa kwa ukatili wa Polisi Nigeria

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kukomeshwa kile alichokiita “ukatili” wa polisi nchini Nigeria, ambayo imekumbwa na maandamano kwa wiki mbili sasa. Kupitia taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric, Guterres amevihimiza vikosi vya usalama kujizuia kwa wakati wote na kutoa wito …

Read More »