Tag Archives: umoja

RC Wangabo asisitiza umoja Kanisa la KKKT Rukwa.

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesisitiza umoja na mshikamano kwa waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)ambao kwa majuma kadhaa wamekuwa na mikwaruzano hali iliyofanya waumini hao kuswali kwa mafungu jambo ambalo halileti maendeleo ndani ya kanisa pamoja na mkoa. Amesema kuwa wakati alipoteuliwa na …

Read More »