Tag Archives: Ulemavu

Serikali Kuandaa Mpango Wa Utoaji Huduma Kwa Watu Wenye Ulemavu

Serikali imedhamiria kuandaa Mpango wa Taifa wa kuimarisha masuala ya utoaji huduma kwa Watu wenye Ulemavu ili kuwezesha kundi hilo maalumu kushiriki kwenye sekta mbalimbali hapa nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa alipokuwa akifungua mkutano wa wadau …

Read More »