Tag Archives: Ukimwi

Watu 1,252,205 Wanaishi Na Virusi Vya Ukimwi Nchini Tanzania

paka kufikia mwezi Septemba 2019 takribani watu 1,252,205 kati ya wananchi 1,600,000 wanaokadiriwa kuishi na VVU nchini walikuwa wamepima na kufahamu hali zao za maambukizi ya VVU. Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto¬† Ummy Mwalimu wakati wa maadhimisho ya kitaifa ya siku …

Read More »