Tag Archives: Ujerumani kuongeza mbinu mapambano ya Covid-19

Ujerumani kuongeza mbinu mapambano ya Covid-19

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na viongozi wakuu wa majimbo 16 nchini humo wamekubaliana kuongeza makali ya amri ya kuvaa barakoa pamoja na kufungwa mapema maduka ya kuuza pombe katika maeneo yenye visa vingi vya COVID-19. Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya mkutano uliofanyika Oktoba 14, saa chache tangu Ujerumani kuripoti …

Read More »