Tag Archives: ujerumani

Ujerumani kuruhusu safari katika nchi 26 za Umoja wa Ulaya

Serikali ya Ujerumani inajiandaa kuondowa tahadhari ya usafiri kwa nchi 29 za Ulaya kuanzia Juni 15 ikiwa ni karibu miezi mitatu baada ya tahadhari hizo kutangazwa kwa nia ya kuzuia kusambaa kwa kirusi cha Corona. Uamuzi uliotolewa leo Jumatano utaimarisha matumaini ya kurudi kwa hali kiuchumi katika nchi zinazotegemea utalii …

Read More »