Tag Archives: Ujenzi Wa Daraja La Sibiti Umekamilika – Majaliwa

Ujenzi Wa Daraja La Sibiti Umekamilika – Majaliwa

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kazi ya ujenzi wa daraja la Sibiti imekamilika. “Nimepita pale darajani leo na kukagua ujenzi, kazi imekamilika yaliyobakia ni matengenezo madogo na kuboresha mapito ya mifugo ambayo yamejengwa chini ya daraja kwa pembeni …

Read More »