Tag Archives: uingereza

Uingereza kuendelea kuunga mkono makubaliano ya nyuklia

Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema nchi hiyo bado inaunga mkono makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na mataifa yenye nguvu duniani na inataka kurejea katika majadiliano baada ya mvutano wa hivi karibuni kufuatia Marekani kumuuwa jenerali wa ngazi ya juu wa Iran Qassem Soleimani. Johnson ametoa wito …

Read More »