Tag Archives: uganda

Majibu feki ya corona yagundulika Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuna uzembe umefanyika Maabara na kupelekea Watu kuambiwa wana corona wakati hawana “tuna maambukizi 679 ya corona hadi sasa Uganda ila kati ya hawa Watu baadhi yao wameambiwa wana corona baada ya vipimo vya Maabara pale Makerere wakati hawana, Maabara imekosa umakini, inaonekana kuna …

Read More »

Watanzania wengine wanne wakutwa na virusi vya corona Uganda

Wizara ya Afya Uganda imesema Watanzania wengine wanne (Madereva wa Malori) wamebainika kuwa na virusi vya corona nchini humo na kufanya visa vya corona Uganda kufikia 79, Madereva hao walioingia Uganda kupitia mpaka wa Mutukula ni kati ya ya Watu 1989 waliopimwa jana Uganda. “Tumewapima Watu 1989 ambapo Madereva wa …

Read More »

Uganda: Bob Wine Akamatwa Tena

Mbunge wa Kyadondo nchini Uganda, Robert Kyagulani, maarufu Bobi Wine, leo Januari 6, 2020, Jeshi la Polisi nchini humo limemkamata na kisha kurusha mabomu ya machozi kwa lengo la kuzuia mkutano wake, uliokuwa umepangwa kufanyika eneo la Gayaza, Kyadondo Mashariki Bobi Wine alikamatwa pamoja na wabunge wengine Asuman Basalirwa, Latif …

Read More »