Tag Archives: udanganyifu

Mkandarasi Afungwa Jela Miaka 7 Kwa Udanganyifu Wa Fedha

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mkandarasi wa majengo, Alfred Ndeka (60) kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa na hatia ya kujipatia Sh116 milioni kwa njia ya udanganyifu. Hukumu hiyo imetolewa jana Jumatano na Hakimu mwandamizi, Vicky Mwaikambo baada ya kuridhishwa na ushahidi wa mashahidi watano wa upande …

Read More »