Tag Archives: uchawi

Walimu wakimbia makazi kisa kupigwa, kulazwa nje

Walimu wanaofundisha katika shule mbalimbali zilizopo katika Halmashauri ya Mji wa Geita, wamelazimika kukimbia makazi yao kwenye maeneo ya shule kutokana na kuchapwa mijeredi na wakati mwingine kujikuta wakiwa wamelazwa nje. Hoja hiyo imeibuka katika kikao cha baraza la madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Geita, ambapo Diwani wa Kata …

Read More »