Tag Archives: Uchaguzi wa Marekani 2020: Mchuano bado mkali kati ya Trump-Biden

Uchaguzi wa Marekani 2020: Mchuano bado mkali kati ya Trump-Biden

Matokeo ya awali ya urais nchini Marekani kati ya Donald Trump na hasimu wake wa Democrat Joe Biden yanaonesha mchuano kuwa mkali katika majimbo kadhaa. Donald Trump anaongoza katika jimbo la Florida kwa karibu kura zote zilizohesabiwa. Lakini majimbo mengine ya Georgia, Pennsylvania, Wisconsin, Michigan, Arizona, Ohio, Texas, na North …

Read More »