Tag Archives: uchaguzi

Mikoa mitatu kutopiga kura serikali za mitaa

Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema mikoa mitatu haitafanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kuwa wagombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepita bila kupingwa. Naibu Waziri wa wizara hiyo, Mwita Waitara amesema jana  jijini Dar es Salaam kuwa, kati ya …

Read More »

Juma Duni ahofia mazingira uchaguzi mkuu ujao Zanzibar

Unguja. Naibu kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar Juma Duni Haji amesema ikiwa imesalia mwaka mmoja kufika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 chama hicho kinaona kuna kila aina ua ugumu kwenye uchaguzi huo kutokana na mazingira yaliowekwa. Duni ameyasema hayo leo Jumapili Novemba 17, 2019 wakati akizungumza na waandishi wa …

Read More »

CHAUMA Nao Watangaza Kutoshiriki Uchaguzi Serikali Za Mitaa

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) nacho kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019. Kimetangaza uamuzi huo siku mbili baada ya Chadema na ACT-Wazalendo navyo kutangaza kutoshiriki uchaguzi huo. Mwenyekiti wa chama hicho, Hashim Rungwe ametangaza uamuzi huo leo Jumamosi Novemba 9, 2019 akibainisha kuwa wagombea …

Read More »

Jafo: Kamati za Rufaa Tendeni Haki kwa Wagombea

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amezitaka Kamati ya Rufaa za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kutenda haki wa wagombea wote watakaowasilisha malalamiko yao kuhusu uteuzi. Waziri Jafo ameyasema hayo wakati akizungumza na Kamati ya Rufaa pamoja na viongozi wa …

Read More »