Tag Archives: Ubunifu Wa Mji

Maendeleo Ya Ubunifu Wa Mji Wa Serikali Yajadiliwa

Ofisi ya Waziri Mkuu inaendelea na zoezi la kuratibu awamu ya pili ya uendelezaji wa mji wa serikali eneo la Mtumba, makao makuu ya nchi jijini Dodoma. Awamu hii ya pili inahusisha Ubunifu na ujenzi wa majengo makubwa ya Ofisi zitakazotumiwa na Wizara za serikali. Akiongea, tarehe 20 Aprili, 2020, …

Read More »