Tag Archives: Ubakaji

Ahukumiwa Jela Miaka 30 Kwa Kumbaka Bibi wa Miaka 60

Mahakama ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, imemuhukumu mkazi wa Kijiji cha Nange, Shabo Marando (47) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kubaka bibi wa miaka 60. Mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mfawidhi Esther Malick, ilitoa hukumu hiyo baada ya kupitia ushahidi wa upande wa mashtaka uliokuwa na mashahidi …

Read More »