Tag Archives: ubaguzi

Mabalozi wa Nchi za Afrika wakutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje China Kuzungumzia Ubaguzi Wanaofanyiwa Waafrika Huko China

Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje China, Chen Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Afrika katika mji wa Guangzhou Chen amewaeleaza Mabalozi kwamba Serikali ya China haiungi mkono vitendo vya ubaguzi dhidi ya yeyote. Kuhusu changamoto zilizowasilishwa na Mabalozi wa Nchi …

Read More »