DODOMA SERIKALI imevipongeza vyama vikuu vya Ushirika wa zao la Tumbaku nchini (TCJE) kwa kufikia uamuzi wa pamoja wa kuazimia kuanzisha kiwanda cha kusindika na kuchakata tumbaku ili kuongeza thamani ya zao hilo na hatimaye kupata bidhaa za viwandani zitokanazo na tumbaku. Pongezi hizo zimetolewa jana Mjini Dodoma na Kaimu …
Read More »Tag Archives: Tumbaku
Kacu yaisogeza Petrobena Kahama,Sasa Kuanza kununua Tumbaku katika chama cha msingi Ngokolo Ushetu kilo Laki 250.
Katika jitihada za kuhakikisha wakulima wa zao la Tumbaku katika msimu wa mwaka 2019/20 wanapata wanunuzi, Chama kikuu cha Ushirika Kahama (KACU) kimeanza kutafuta wanunuzi wapya wa zao hilo baada ya baadhi ya kampuni kusitisha ununuzi wa zao hilo katika mkoa wa kitumbaku Kahama na kusababisha usumbufu kwa wakulima. Akizungumza …
Read More »