Tag Archives: Trump aahidi kumteuwa mwanamke kuchukua nafasi ya Jaji Ginsburg

Trump aahidi kumteuwa mwanamke kuchukua nafasi ya Jaji Ginsburg

Rais Donald Trump ameahidi kumteuwa mwanamke wiki ijayo kujaza nafasi iliyowachwa wazi kufuatia kifo cha Jaji Ruth Bader Ginsburg, na kulishinikiza baraza la Seneti linalodhibitiwa na Warepublican kuidhinisha jina hilo bila kuchelewa. Akizungumza katika mkutano wa kampeni jimboni North Carolina, Trump alisema atamteuwa mrithi wa Ginsburg licha ya kupingwa na …

Read More »