Tag Archives: Trump

Kituo cha CDT chafungua mashtaka dhidi ya Trump

Kituo cha Demokrasia na Teknolojia (CDT) kimewasilisha mashtaka dhidi ya amri ya Rais Donald Trump ya Kuzuia Udhibiti wa Maudhui Mtandaoni iliyosainiwa Mei 28, 2020 CDT inadai amri hiyo inakiuka Marekebisho ya Kwanza kwa kupunguza ubora wa taarifa za Taasisi na watu binafsi ziilizopo katika mitandao ya kijamii ambazo hulindwa …

Read More »

Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis Amtuhumu Trump Kwa Kutaka Kuwagawa Wamarekani Kwa Matabaka

Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis¬† ametangaza kuwaunga mkono wananchi wa Marekani wanaondamana kulaani ubaguzi wa rangi na mienendo ya polisi ya Marekani hususan dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika. Mattis alitangaza msimamo huo katika taarifa iliyochapishwa jana Jumatano na gazeti la The Atlantic, ambapo amemtuhumu Trump …

Read More »

Marekani Yazindua Rasmi Jeshi lake Jipya la Anga za Juu

Rais Donald Trump amesaini pesa za kuwezesha mradi mpya wa Pentagon, jambo ambalo linarasimisha kuanzishwa kwa kikosi cha vita vya anga za juu- kifahamikacho kama US Space Force. Kikosi hicho kipya katika jeshi la Marekani, ni kikosi cha kwanza katika huduma za jeshi la Marekani kwa miaka 70, na kiko …

Read More »