Tag Archives: TPC watakiwa Kuzalisha Sukari Ya Viwandani

Waziri Angela Kairuki Awataka TPC Kuzalisha Sukari Ya Viwandani

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia uwekezaji, Angela Kairuki,ameutaka uongozi wa Kiwanda cha Sukari cha TPC, kilichopo Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kuangalia uwezekano wa kuanza uzalishaji wa Sukari ya viwandani, ili kuondoa adha ya kuagiza sukari hiyo nje ya nchini. Kairuki alisema mpaka sasa hakuna mzalishaji wa …

Read More »