Tag Archives: TIC yanuia kumaliza changamoto za uwekezaji nchini.

TIC yanuia kumaliza changamoto za uwekezaji nchini.

Simiyu. Kituo cha uwekezaji Tanzania TIC kimenuia kumaliza changamoto kwa wawekezaji nchini kwa kuongeza ufanisi wa kiutendaji ikiwamo utoaji wa vibali mbalimbali, leseni na usajili wa miradi kwa haraka zaidi ili kuwahisha utekelezaji wa miradi iliyo kusudiwa. Mkakati huo ulielezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini (TIC) Dr …

Read More »