Tag Archives: tiba

Waganga wa Tiba asili wakubali kusajili nyara wanazomiliki

Waganga wa tiba asili zaidi ya 300, Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, wamekubali kusajili nyara za Serikali wanazomiliki kama sehemu ya vitendea kazi vyao ikiwemo ngozi mbalimbali za Wanyama, ili kuweza kufanya kazi zao kwa kufuata taratibu za nchi zinavyoelekeza, na kuwabaini wale wachache wasiotaka kufuata maelekezo ya Serikali katika utendaji …

Read More »