Tag Archives: tcra

TCRA:Tunazima simu kwa awamu na simu zote zitazimwa.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), James Kilaba amesema uzimaji wa laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole unafanyika kwa Awamu. Amesema zoezi hilo lililoanza jana Januari 20, 2020 linafanyika kwa Awamu ili kuondoa usumbufu na hadi kufikia jana usiku saa nne walikuwa wamezima laini 975,041 …

Read More »

TCRA yasisitiza usajili laini za simu

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), James Kilaba amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kusajili laini zao za simu kwa njia ya alama za vidole. Kilaba ametoa wito huo leo Desemba 13 jijini Dar es Salaam wakati wa semina maalumu na waandishi wa habari iliyofanyika kwa lengo la kuwajengea …

Read More »