Tag Archives: TBS

Tani 2 za Bidhaa Zenye Thamani ya Milioni 20 Zateketezwa na TBS

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza jumla ya tani 2.2 za bidhaa zilizoisha muda wake na zilizokatazwa kutumika zenye thamani ya shilingi 20,150,000. Takwimu hizo zimetolewa jana jijini Dodoma na Afisa Mdhibiti Ubora wa shirika hilo Kanda ya Kati, Sileja Rushibika wakati alipokuwa akisimamia zoezi la uteketezaji wa bidhaa hizo. …

Read More »

Wazalishaji watakiwa kuzingatia viwango

Wazalishaji wa bidhaa  mbalimbali mkoani Singida wametakiwa kutambua kuwa suala la viwango ni la kisheria hivyo ni lazima kuthibitisha ubora wa bidhaa ili kumlinda mlaji na kupata uhakika wa soko la bidhaa wanazozizalisha. Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu  wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt Rehema Nchimbi alipokuwa …

Read More »

Mifuko Mbadala Isiyokidhi Viwango Marufuku Nchini

Serikali imesema kamwe haitaruhusu uzalishaji, uingizaji na matumizi ya mifuko mbadala aina ya Non-Woven isiyokidhi viwango vya 70 Gram Per Square Metre (GSM) kutumika nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mussa Sima katika Mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashara na Wawekezaji uliolenga  kusikiliza na …

Read More »