Kaya masikini zilizo kwenye mpango wa kunusuru kaya masikii katika halmashauri ya mji wa kahama mkoani shinyanga zimetakiwa kutumia fursa walioipata ya mradi wa mpango wa uweka akiba na kukuza uchumi wa kaya kwa lengo lakutokuwa tegemezi tena endapo TASAF itaondoka. Kauli hiyo imetolewa na mratibu wa TASAF halmashauri ya …
Read More »Tag Archives: Tasaf
Serikali Yapiga Marufuku Walengwa Wa Tasaf Kulazimishwa Kuchangia Bima Za Afya Na Michango Ya Kijamii
Serikali imewaagiza Viongozi wa Vijiji kutowalazimisha walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kukatwa ruzuku kwa ajili ya kuchangia bima za afya na michango mbalimbali ya kijamii kwani ruzuku hiyo hutolewa na Serikali kwa ajili ya kuziwezesha kaya maskini kujikwamua kiuchumi. Agizo hilo limetolewa Bungeni leo na Naibu Waziri, Ofisi …
Read More »