Tag Archives: TANZIA: Mgombea Ubunge Salim Abdullah Turky afariki dunia

TANZIA: Mgombea Ubunge Salim Abdullah Turky afariki dunia

Mgombea ubunge wa Jimbo la Mpendae kupitia Chama cha Mapinduzi -CCM, Salim Abdullah Turky amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Marehemu Turky amefariki katika Hospitali ya Tasakhta Global Kisiwani Unguja. Swala ya kuombea mwili wa marehemu inatarajiwa kufanyika leo alasiri katika msikiti wa Othman Maalim na kufuatiwa na mazishi yatakayofanyika …

Read More »