Tag Archives: “TANESCO msikate umeme wakati wa uchaguzi” Waziri Kalemani

“TANESCO msikate umeme wakati wa uchaguzi” Waziri Kalemani

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewataka Mameneja wa Shirika la Umeme nchini TANESCO wa ngazi za Kanda, Mikoa na Wilaya kuhakikisha umeme haukatiki katika kipindi chote cha uchaguzi mkuu hususan siku ya kupiga kura. Dkt.Kalemani ameyasema hayo baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza …

Read More »