Tag Archives: Tanchoice

Kiwanda Cha Kuchakata Nyama Cha Tanchoice Kuzalisha Ajira 500

Kiwanda cha kuchakata nyama na machinjio ya mifugo cha Tan Choice kinatarajiwa kuzalisha ajira 500 za kudumu katika fani mbalimbali nchini mara baada ya kuanza kazi rasmi mapema Machi, 2020. Hayo yamesemwa na Msemaji wa kiwanda hicho Bw. Albert Kilalah wakati akiwasilisha taarifa ya kiwanda kwa Waziri wa Nchi Ofisi …

Read More »