Tag Archives: TANAPA Watoa Taarifa Moto Unaowaka Mlima Kilimanjaro

TANAPA Watoa Taarifa Moto Unaowaka Mlima Kilimanjaro

Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) imesema kuwa moto uliozuka jana eneo la Whona pakupumzikia wageni wanaofanya utalii kwenye Mlima Kilimanjaro unaendelea kudhibitiwa. TANAPA imebainisha kuwa vikosi vinavyoshirika katika kuudhibiti moto huo vinajumuisha wananchi, wanafunzi wa mafunzo kwa vitendo na wale wa Chuo cha Mweka na Kikosi cha Zimamoto. Kuhusu …

Read More »