Tag Archives: Takukuru

MANYARA: Takukuru yamshikilia mmiliki wa mashamba kwa kutowalipa watumishi mishahara.

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, inamshikilia mmiliki wa mashamba makubwa Thomas Meliyo kwa kutotimiza wajibu wa kuwalipa stahiki watumishi wa mashamba yake. Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu ameyasema hayo mjini Babati wakati akizungumza na waandishi wa habari. Makungu amesema Meliyo …

Read More »

Mambo bado magumu kwa Lugola, achunguzwa na TAKUKURU

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa. Lugola aliondolewa Uwaziri baada ya kuhusishwa na kashfa ya Mkataba wa Tsh. Trilioni 1 wa ununuzi wa vifaa vya …

Read More »

TAKUKURU wampa siku 10 mkandarasi kukamilisha mradi

Mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo, amemuagiza Mkandarasi wa Kampuni ya JUAN, inayotekeleza mradi wa Maji wa Kelema Kuu, katika Kijiji Cha Kelema Balai Wilayani Chemba, Mkoa wa Dodoma, kuhakikisha ndani ya siku kumi mradi huo uwe umekamilika. Mradi wa Maji wa …

Read More »