Tag Archives: taiwan

Marekani yaionya China dhidi ya kuivamia Taiwan.

Mshauri wa usalama wa taifa nchini Marekani, Robert O’Brien, ameionya China dhidi ya jaribio lolote la kuitwaa Taiwan kwa nguvu, akisema operesheni za kijeshi ya ardhini, baharini na angani huwa ngumu na kwamba kuna utata mkubwa juu ya namna Marekani itakavyojibu hatua hiyo. O’Brien alisema hapo jana akiwa mjini Nevada, …

Read More »