Tag Archives: Tafiti Zaidi Za Kisayansi

Tafiti Zaidi Za Kisayansi, Kuendeleza Sekta Ya Mifugo Nchini

Katibu Mkuu Wizara ya MIfugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel ameitaka Taasisi ya Utafiti wa Mifugo nchini (TALIRI) kuendelea kufanya tafiti za kisasa zaidi ili sekta ya mifugo iweze kuwa na endelevu. Akizungumza jana (17.09.2020) katika Ranchi ya West Kilimanjaro iliyopo Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro, kwenye kituo …

Read More »