Tag Archives: sukari

Waziri Mkuu azuia sukari kutoka nje hadi iliyo Tanzania iishe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Bw. Juma Hassan Reli ahakikishe anazuia utoaji wa vibali vya kuingiza sukari kutoka nje hadi sukari inayozalishwa na kiwanda cha sukari cha Zanzibar kilichopo Mahonda iishe. Amesema haiwezekani kiwanda hicho cha pekee kinachozalisha tani 6,000 za sukari …

Read More »