Tag Archives: Sudan Kusini

Serikali ya Mseto yaundwa Sudan Kusini

Viongozi hasimu nchini Sudan Kusini wameunda serikali mpya ya umoja wa kitaifa leo hii inayotarajiwa kudumu kufuatia vita vya wenyewe kwa wenyewe. Siku moja baada ya Rais Salva Kiir kulivunja baraza la mawaziri la serikali iliyopita, kiongozi wa upinzani Riek Machar ameapishwa kama makamu wa kwanza wa rais wa Sudan …

Read More »