Tag Archives: songwe

Baba ashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumchoma na pasi mwanaye

Moses Mwambene(35) Mkazi wa Mtaa wa Ilembo, Mbozi anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumvua nguo na kumchoma kwa pasi Mwanae Victor Moses (12) na kumsababishia majeraha makali, tayari Polisi Mkoani Songwe wanamshikilia Moses. “Kosa la kumchoma linadaiwa ni Baba alimzuia Mtoto kwenda kumsalimia Mama yake ambaye ametangana na Baba …

Read More »