Tag Archives: SOKA

MICHEZO: Thomas Ulimwengu awasili jijini Dar

Thomas Ulimwengu anayekipiga TP Mazembe ya Congo, amewasili mchana wa leo tayari kuungana na wenzake wa kikosi cha Taifa Stars akiwemo Mbwana Samatta aliyefika mapema leo. Taifa Stars na Burundi, zitapepetana Jumapili ya Oktoba 11, 2020, kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

Read More »