Tag Archives: sirro

Jeshi la Polisi halitawaingilia wanasiasa- IGP Sirro

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo …

Read More »