Tag Archives: simiyu

Wajasiliamali watumie Cliniki za biashara kutatua changamoto zao

Wajasiriamali wadogo wameshauriwa kutumia cliniki za kibiashara ili waweze kukabiliana na changamoto zinazopelekea kukwama na kuangusha biashara zao. ¬†Ushauri huo umetolewa na mratibu wa Cliniki hiyo Gilbert Waigama, amesema lengo la vituo hivyo ni kutibu matatizo ya biashara yanayozikabiri biashara zao. Alisema licha ya kutatua kero mbalimbali zilizopo, pia wanajenga …

Read More »