Tag Archives: Simbachawene

Simbachawene Agoma Kufungua Machinjio Ya Msalato jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene hii leo amegoma kufungua machinjio ya Msalato jijini Dodoma kwa kutokidhi vigezo vya ubora vinavyoridhisha ikiwemo ukarabati wa kiwango cha chini na kutoa muda wa wiki ya moja kurekebisha dosari zilizobainika. Ametoa uamuzi huo wakati akitembelea …

Read More »

Simbachawene Aonya Wahujumu Miundombinu Kuuza Chuma Chakavu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira Mhe. George Simbachawene amekemea watu wanaojihusisha na vitendo vya kuhujumu miundombinu ya umma na ya watu binafsi ili kwenda kuuza kama chuma chakavu kuacha mara moja. Pia amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kupitia Halmashauri zote nchini zifuatilie watu …

Read More »