Tag Archives: Simba yapigia hesabu kushinda mechi zote za Dar

Simba yapigia hesabu kushinda mechi zote za Dar

NYOTA namba moja ndani ya Klabu ya Simba Clatous Chama amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani ndani ya ligi na wanahitaji pointi tatu kwenye mechi zote ambazo watacheza ndani ya Ligi Kuu Bara. Chama akiwa ametumia dakika 270 kwenye ligi ambazo ni mechi tatu alizocheza na zote …

Read More »