Tag Archives: Siku Ya Makazi Duniani Itumike Kuboresha Makazi Kwa Wananchi

Siku Ya Makazi Duniani Itumike Kuboresha Makazi Kwa Wananchi

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kukabiliana na changamoto za kifedha na kutekeleza matakwa ya kisera inarajia kuanzisha Mfuko wa Kuboresha Makazi na Ujenzi wa Nyumba za Gharama Nafuu. Hayo yalibainishwa leo tarehe 5 Oktoba 2020 jijini Dodoma kupitia hotuba ya Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo …

Read More »